Msiba wa wafanyakazi Azam watikisa, mwendokasi wapigiwa kelele - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Msiba wa wafanyakazi Azam watikisa, mwendokasi wapigiwa kelele

VIONGOZI  mbalimbali wa kisiasa na watu mashughuli wametao neno la pole kwenye msiba wa wafanyakazi watano wa Azam TV  waliofariki jana kwenye ajali  mkoani Singida. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Wafanyakazi hao ni Saidi Haji, Salim Mhando, Florence Ndibalema, Sylvanus Kasongo na Charles Wandwi, waliokuwa njiani kuelekea Chato kwenye uzinduzi wa  Hifadhi ya Taifa  ya Burigi ...


Source: MwanahalisiRead More