MSICHANA INITIATIVE YAHADHIMISHA SIKU YA MSICHNA DUNIANI KWA KUWAKUTANISHA WADADA NA WAVULANA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MSICHANA INITIATIVE YAHADHIMISHA SIKU YA MSICHNA DUNIANI KWA KUWAKUTANISHA WADADA NA WAVULANA

 Muwakilishi wa Tasisi ya Msichana Initiative, Eugine Shao, akizungumza na waandishi wa habari umuhimu wa kuhadhimisha siku ya Msichana Duniani na Malengo ya Tasisi yao katika kumlinda Mtoto wa Kike hili aweze kufikia malengo sanjari na kupata elimu. Mourine Richard Kutoka Tasisi ya Her Initiative akkizungumza umuhimu wa Mtoto wa kike kujiamini na kuwataka wanaume kuondoa dhana ya kuwanyanyapaa Wanawake kwa umri. Dada Viola akitoa mada kwa wasichana waliohudhuria kongamano katika kuhadhimisha siku ya Msichana Duniani kwa kuwataka waweze kujiamini. Mmoja wa wadau walioshiriki katika Kongamano la siku ya Msichana Duniani lililofanyika katika Ukumbi wa Nafasi Art Space jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wasichana walioshiriki katika Kongamano siku ya Msichna Duniani katika Ukumbi wa Nafasi Arts Space.-- ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More