MSICHANA INITIATIVE YAHADHIMISHA SIKU YA MSICHNA DUNIANI KWA KUWAKUTANISHA WADADA NA WAVULANA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MSICHANA INITIATIVE YAHADHIMISHA SIKU YA MSICHNA DUNIANI KWA KUWAKUTANISHA WADADA NA WAVULANA

Muwakilishi wa Taasisi ya Msichana Initiative, Eugine Shao, akizungumza na wanahabari umuhimu wa kuhadhimisha siku ya Msichana Duniani na Malengo ya Taasisi yao katika kumlinda Mtoto wa Kike hili aweze kufikia malengo sanjari na kupata elimu.Mourine Richard Kutoka Taasisi ya Her Initiative akizungumza umuhimu wa Mtoto wa kike kujiamini na kuwataka wanaume kuondoa dhana ya kuwanyanyapaa Wanawake kwa umri.
Dada Viola akitoa mada kwa wasichana waliohudhuria kongamano katika kuadhimisha siku ya Msichana Duniani kwa kuwataka waweze kujiamini.Mmoja wa wadau walioshiriki katika Kongamano la siku ya Msichana Duniani lililofanyika katika Ukumbi wa Nafasi Art Space jijini Dar es SalaamBaadhi ya Wasichana walioshiriki katika Kongamano siku ya Msichina Duniani katika Ukumbi wa Nafasi Arts Space.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More