Msigwa amtumia ‘Yesu’ kujitetea kortini  - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Msigwa amtumia ‘Yesu’ kujitetea kortini 

PETER Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwamba amefunguliwa mashitaka ya uongo kama ilivyokuwa kwa Yesu Kristo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Ametoa kauli leo tarehe 2 Desemba 2019, wakati akihojiwa na upande wa mashtaka (Jamhuri) ulioongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi akisaidiwa na Wakili ...


Source: MwanahalisiRead More