MSIMU WA TATU WA “SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH” WAMALIZIKA, WASHINDI WAJIZOLEA ZAWADI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MSIMU WA TATU WA “SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH” WAMALIZIKA, WASHINDI WAJIZOLEA ZAWADI

 Meneja wa bidhaa wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Ester Raphael akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa Msimu wa tatu wa shindano la ‘Smirnoff Ice Black Dj Search’ Dj KG baada ya kuibuka mshindi wa fainali hizo, mshindi huyo alipewa Vifaa vya kazi (DJ kits) pamoja na Laptop.
  Mtangazaji maarufu nchini, Hamisi Mandi maarufu kama B-Dozen akimpongeza mshindi wa shindano la ‘Sminorff Ice Black Dj Search’ ‘DJ KG’ baada ya kutangazwa mshindi wa kwanza wa fainali hizo kwa mwaka 2019. Meneja wa bidhaa wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Ester Raphael akizungumza na vyombo vya habari wakati wa fainali za mashindano ya ‘Smirnoff Ice Black Dj Search’ yaliyofanyika Usiku wa jumamosi katika viwanja vya Life Park-Mwenge. Mmoja wa washiriki wa shindano la ‘Smirnoff Ice Black Dj Search’ akionyesha ujuzi wake wakati wa fainali zilizofanyika Jumamosi jijini hapa. Mmoja wa majaji wa Shindano la ‘Smirnoff Ice Black Dj Search’ Immanuel John maarufu kama ‘DJ Summer’ ak... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More