Msuva apigwa bonge la pini Difaa el Jadida - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Msuva apigwa bonge la pini Difaa el Jadida

Ndani ya msimu miwili ambayo ameichezea Difaa El Jadida, Msuva ameifungia klabu hiyo jumla ya mabao 24, yakiwemo 13 ya msimu uliopita upande wa Ligi Kuu Morocco ‘Batola Pro’.


Source: MwanaspotiRead More