Msuva kaingia anga za Mbappe, Neymar - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Msuva kaingia anga za Mbappe, Neymar

HAKUNA matata kwa Sai. Siku chache baada ya kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike kuachia viatu vipya, mshambuliaji wa Taifa Stars, Saimon Msuva mbona mapema sana ameshajimilikisha kiatu hicho ambacho kimeanza kuvaliwa na mastaa wanaotamba Ulaya.


Source: MwanaspotiRead More