Msuva mchezaji ghali zaidi Difaa el Jadida - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Msuva mchezaji ghali zaidi Difaa el Jadida

Mabao 13 ambayo Saimon Msuva ameyafunga kwenye Ligi ya Morocco 'Botola' na moja alilofunga kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON), yamempandisha chati na kumfanya awe mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi kwenye kikosi cha Difaa el Jadida ya Morocco.


Source: MwanaspotiRead More