Msuva ni maajabu tu ughaibuni - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Msuva ni maajabu tu ughaibuni

NYOTA wa zamani wa Yanga, Saimon Msuva anayeichezea Difaa El Jadida, anasubiri maajabu siku ya kufunga pazia la Ligi Kuu Morocco pengine timu yake inaweza kupata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao.


Source: MwanaspotiRead More