Mtakoma ! huku Ajibu kule Kagere - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtakoma ! huku Ajibu kule Kagere

STRAIKA Said Khamis anayekipiga Mbao FC amemjibu kwa vitendo Ibrahim Ajibu kwa kufunga bao kali la kideoni dhidi ya Mtibwa Sugar, lakini bado mziki wa straika huyo wa Yanga unawanyima raha mabeki na makipa wa timu pinzani


Source: MwanaspotiRead More