MTANANGE WA TEAM SAMATTA V TEAM KIBA KATIKA PICHA JANA TAIFA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MTANANGE WA TEAM SAMATTA V TEAM KIBA KATIKA PICHA JANA TAIFA

Mshambuliaji Mbwana Samatta wa KRC Genk ya Ubelgiji akipasua katikati ya Said Ndemla (kushoto) na Abdi Kassim 'Babbi' wa timu ya mwanamuziki Ali Kiba na Marafiki zake jana katika mchezo wa kirafiki wa Hisani uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu ya Samatta na Rafiki zake ilishinda 4-2
Kiungo Mrisho Ngassa akijivuta kupiga mpira pembeni ya James Msuva 
Mohammed Bin Slum na Ally Kiba wakimdhibiti Issa Rashid 'Baba Ubaya' wa timu Samatta 
Amri Kiemba wa Team Samatta akimiliki mpira pembeni ya Shaaban Kisiga wa Team Kiba 
Ibrahim Ajibu wa Team Kiba akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Team Samatta 
Rashid Mandawa akiwapita wachezaj wa Team Kiba  
Kiungo Said Ndemla wa Team Kiba akimiliki mpira mbele ya Henry Joseph wa Team Samatta 
Ally Kiba akimtambulisha Abdi Kassim 'Babbi' kwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kabla ya mechi kuanza jana 
Kikosi cha Team Kiba kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa 
Kikosi cha Team Samatta kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa  ... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More