Mtandao wa Instagram wabuni njia hii ya kuwakomesha watumiaji wanaotuma ujumbe wa kuzalilishana na kutukanana - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtandao wa Instagram wabuni njia hii ya kuwakomesha watumiaji wanaotuma ujumbe wa kuzalilishana na kutukanana

Mtandao wa Instagram unaamini kuwa kuwepo kwa ujumbe wa kuwafanya watumiaji wa mtandao kufikiri kuhusu wanachokisema, utasaidia kuondokana na vitendo vya udhalilishaji mtandaoni. Hivi karibuni itawapatia watu wanaodhalilishwa mitandaoni uwezo wa kuzuia majibizano na watumiaji wanaowadhalilisha.Kwa mujibu wa BBC. Instagram imekuwa kwenye changamoto ya kupambana na tatizo la udhalilishaji baada ya madhara makubwa kutokea kama tukio la kujiua kwa binti mmoja wa nchini Uingereza.


”Tunaweza kufanya zaidi kuepuka vitendo hivi kufanyika kwenye instagram, na tunaweza kuchukua hatua zaidi za kuwawezesha walengwa wa vitendo hivyo ili waweze kujitetea wenyewe”.ameeleza mtendaji mkuu Adam Mosseri.Facebook imekuwa ikilaumiwa kutodhibiti mitandao yao, sasa wajipanga kuchukua hatua

Fikiri tena


Instagram imesema imekuwa ikitumia teknolojia ya kubaini kama ujumbe unafanana na aina ya ujumbe unaowekwa ambao umekuwa ukiripotiwa kuwa usiofaa kwa watumiaji.


Katika mfano mmoja, mtu ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More