Mtangazaji maarufu wa SuperSport Tv, Robert Marawa afukuzwa kazi juu kwa juu, Mashabiki wake wamuita shujaa kwa kupinga unyanyasaji wa kijinsia - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtangazaji maarufu wa SuperSport Tv, Robert Marawa afukuzwa kazi juu kwa juu, Mashabiki wake wamuita shujaa kwa kupinga unyanyasaji wa kijinsia

Mtangazaji maarufu wa michezo katika kituo cha SuperSport TVnchini Afrika Kusini, Robert Marawa amefukuzwa kazi na kituo hicho muda mchache kabla ya kwenda hewani siku ya Jana kwenye kipindi cha Thursday Night Live.Robert Marawa amethibitisha taarifa hizo kupitia ukarasa wake wa Twitter kwa kueleza kuwa alitumiwa ujumbe mfupi na Mabosi wake kuwa asifike ofisini kwenye kipindi cha TNL kwani mkataba wake umeisha. 


Kufuatia tukio hilo, Supersport wametoa tangazo kuwa wanatarajia kufanya mabadiliko ya watangazaji wa ndani kwa kuangalia  upya marekebisho ya baadhi ya mikataba ikiwemo wa Robert Marawa.SuperSport is in the process of an exciting refresh of its local presenter line-up, which will be unveiled as part of our new football season campaign. This restructure includes us not pursuing our contractual relationship with Robert Marawa. (1/2)


— SuperSport (@SuperSportTV) May 17, 2019Duru za habari nchini Afrika Kusini, zinaeleza kuwa Mtangazaji huyo kupitia ukurasa wake wa Twit... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More