MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA MBAGALA CHARAMBE DAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA MBAGALA CHARAMBE DAR

 Maziko ya Mtangazaji wa RTD Ahmed Jongo  yamefanyika leo  makaburi ya Mbagala Charambee Dar es Salaam Baadhi ya Ndugu,Jamaa na marafiki wakiwa wamejumuika nyumbani leo mchana kwenye mazishi ya aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake  kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya Ndugu,Jamaa na marafiki wakijadiliana jambo nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar Es Salaam. Sehemu ya waombolezaji wakiwamo ndugu,jamaa na marafiki wakijadiliana jambo nyumbani kwa marehemu aliyekuwa mtangazaji nguli wa  Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar Es Salaam.  Miongoni mwa ndugu, jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani ambaye amefarikia dunia jana. Baadhi ya  ndugu, jamaa na marafiki wa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More