MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) NA TBC MAREHEMU AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA MBAGALA CHARAMBE DAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) NA TBC MAREHEMU AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA MBAGALA CHARAMBE DAR


 Maziko ya Mtangazaji wa RTD Ahmed Jongo  yamefanyika leo  makaburi ya Mbagala Charambee Dar es Salaam Mtangazaji mkongwe na mmiliki wa redio ya Sports FM Abdallah Idrissa Majura akijumuika na ndugu, Jamaa na marafiki kupata chakula nyumbani kwa marehemu Tandika Maghorofani leo mchana kwenye mazishi ya aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo
.
  Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa ambaye pia ni Rais Mstaafu wa TFF na mchezaji mkongwe wa Yanga na Taifa Stars Leodegar Chilla Tenga (sahiti la buluu) na aliyewahi kuwa kiongozi wa Yanga Emmanuel Mpangala wakiungana na ndugu, jamaa na marafiki kupa pata chakula cha mchana nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar es Salaam.
  Waombolezaji wakijadiliana jambo katika msibani  wa marehemu aliyekuwa Mtangazaji nguli wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar es Salaam. Kutoka ... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More