Mtanzania aingia anga za Caster Semenya AAG - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtanzania aingia anga za Caster Semenya AAG

Mwanariadha wa Tanzania, Regina Mpigachai ni miongoni mwa nyota watakaochuana kusaka medali ya dhahabu ya mbio za mita 800 katika Michezo ya Afrika (AAG) ambayo bingwa mtetezi ni mwanaridha wa Afrika Kusini, Caster Semenya.


Source: MwanaspotiRead More