Mtanzania aliyemkalisha bondia wa England apania makubwa - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtanzania aliyemkalisha bondia wa England apania makubwa

Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo alieyempiga bondia wa England Sam Eggington katika pambano la utangulizi kabla ya pambano kuu kati ya Amir Khan dhidi ya Samwel Vargas kwa sasa anawataka ma-star wa kimataifa wa mchezo huo.


Mwakinyo (23) kutoka Tanga alishinda pambano kwa Technical Knockout (TKO) dhidi ya bondia mwingereza Sam Eggington kwenye jiji la Birmingham.


Mdau wa masumbwi Chief Juma Ndambile amezungumzia ushindi alioupata bondia Hassan Mwakinyo.


“Amefanya kazi ya ziada ambayo anapaswa kupongezwa na kila mdau wa ngumi, bondia aliyepigana nae ni mkubwa sio wa kubeza kama watu wanavyofikiria labda ni bondia wa kawaida. Kwa uzito wao, Sam Eggington ni bondia namba 8 duniani na namba 2 ndani ya England, bondia wetu (Hassan Mwakinyo) alikuwa namba 174 duniani na namba moja Tanzania.”


“Bondia aliyepigwa na Mwakinyo kwa profile yake hakuamini kama anaweza kupigwa na Mwakinyo kwa sababu amepigana mapambano mengi sana na amekuwa bingwa mara tatu wa WBC, huo ni mkanda mkubwa sana dun... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More