Mtanzania aliyeng’ara NBA all Stars aiwakilisha Tanzania kule Nairobi - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtanzania aliyeng’ara NBA all Stars aiwakilisha Tanzania kule Nairobi

Baada ya kushiriki kwa mafanikio katika kambi ya Basketball Without Borders (BWB) na NBA Africa Game huko Afrika Kusini ambapo Mtanzania Jesca aling’ara kwa kuchaguliwa katika timu ya All Stars iliyocheza mchezo wa utangulizi kabla ya mchezo wa NBA.

Tanzania inapeleka tena vijana 13 wa chini ya miaka18 katika kambi ya Giants of Africa inayofanyika huko Nairobi, Kenya, kuanzia 15 hadi 20 August, 2018.


Msafara wa Tanzania unatuwakilisha Kenya ni kama ifuatavyo :

1. BAHATI MOSES MGUNDA (Kocha)

2. ATIKI ALLY ATIKI

3. OMAR MAALIM OMARI

4. QURAISH SLYVESTER MGANGA

5. HOSSAM RASHID KITILA

6. JOSEPHAT PETER SANKA

7. NOELA UWANDAMENO

8. JESCA NGISAISE ONG’ANYI

9. JUDITH PANTALEO

10. ANNA SAILEOU

11. CATHERINE LOISHIYE

12. MARY ROBERT

13. HUSNA MOHAMED

14. NEEMA JONAS


Kiongozi wa msafara huu huko Nairobi ni Kocha Bahati Mgunda.


Kambi hiyo inaendeshwa na Ndg. Maasai Ujiri ambaye ni Rais na Mtendaji Mkuu wa Timu ya NBA ya Toronto Raptors ya Canada.Rais wa TBF Ndg. Phares Magesa alipata nafas... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More