Mtanzania aomboleza kifo cha bosi wa Leicester City - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtanzania aomboleza kifo cha bosi wa Leicester City

KINDA la Kitanzania, Ben Anthony Starkie anayeichezea timu ya vijana ya Leicester City chini ya umri wa miaka 16 nchini England, ameungana na wenzake kuomboleza kifo cha bilionea na mmiliki wa klabu hiyo, Vichai Srivaddhanaprabha.


Source: MwanaspotiRead More