Mtanzania Dominicusius Kuhanga anayekipiga Zimbabwe apata shavu Botswana - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtanzania Dominicusius Kuhanga anayekipiga Zimbabwe apata shavu Botswana

DOMINICUSIUS KUHANGA ni mtanzania ambaye kwa sasa yupo katika akademi ya vijana ya Aces ya nchini Botswana.


Kuhanga ni nani?


KUHANGA amezaliwa 27 Nov 2000
Alizaliwa na kukulia mkoani TABORA, TANZANIA

Soka lake alianzia wapi?


KAISERS FC (Tabora 2012-14)

CHIPUKIZI ACADEMY ( Tabora 2014)

MARA SPORTS ACADEMY (Musoma 2015-2017)

Pia aliiwakilisha Tabora katika mashindano ya Copa coca Cola U-15 mwaka 2013 na 2014


Safari yake ya Zimbabwe?


“Nilikuja Zimbabwe mwenyewe Tarehe 22 Desember 2017 kwa ajili ya kufuata nyayo za (Khama Billiat) ambaye alianzia soka lake AYSA na nilisafiri kwa kutumia ada ya shule niliyopewa na bibi yangu. Baada ya kufanya majaribio wakaamua kunisaidia ingawa huku kuna ubaguzi sana wa utaifa hasa kwenye hizi akademi zao kwani lengo ni kwa vijana wa Zimbabwe tu.Vipi kuhusu Safari yake ya Mafanikio?


Alipewa ruhusa na uongozi wa akademi baada ya wao kupata habari juu ya majaribio ambayo yalikuwa yakifanyika mjini Gaborone. Uongozi wa akademi hiyo ukashughulikia mchaka... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More