*MTANZANIA, MOHAMED MANSOUR AENDELEA TENA KULIWAKILISHA NA KULITANGAZA VYEMA TAIFA ANGA ZA KIMATAIFA* - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

*MTANZANIA, MOHAMED MANSOUR AENDELEA TENA KULIWAKILISHA NA KULITANGAZA VYEMA TAIFA ANGA ZA KIMATAIFA*

Ni Tunzo nyengine ya heshima ya Kimataifa!
Mtanzania, Mohamed Mansour Nassor anaetokea Zanzibar ambae anafanya masomo kiwango cha juu ya PhD katika fani ya Uchumi ambae pia ndio Raisi wa Umoja wa Vijana na Wanafunzi wa Nchi zote za Afrika(ASSAFSTU) katika Chuo Kikuu kwa Jina maarufu la Patrice Lumumba(RUDN University) ametunukiwa tunzo kubwa ya Kimataifa kwa Kuhamasisha vijana wa nchi za Afrika nchini Urusi.
Na ujumbe wake ulisema kama ifuatavyo:

Leo tarehe 12/01/2019 kwa uwezo wa Mungu nimefikia tena kutambuliwa Kimataifa na najivuna tumeendelea tena kulitangaza vyema Taifa letu la Tanzania katika anga za Kimataifa. 
Kwa heshima kubwa kwangu na kwa nchi yetu, nimetunukiwa Tunzo ya kufanya vyema sana katika kuhamasisha vijana wa Afrika nchini Urusi katika masuala ya Taaluma(Elimu) na Maendeleo ya Jamii(Community Development) kupitia Shirika la vijana wa Kiafrika lisilo la Kiserikali(NGO) la Youth of Large Exploit(YOLE) katika hafla yao iliofanyika mjini Moscow. 

Kwa uwezo wa Mungu, pamoja n... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More