Mtatiro aitosa CUF, amuunga mkono Rais Magufuli - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtatiro aitosa CUF, amuunga mkono Rais Magufuli

JULIUS Mtatiro, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF, amejivua uanachama wa chama hicho na kuonesha nia ya kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Mtatiro ametangaza uamuzi huo leo tarehe 11, Agosti, 2018 mbele ya wanahabari katika mkutano wake uliofanyika kwenye Ukumbi wa Protea jijini Dar es Salaam. Mtatiro ...


Source: MwanahalisiRead More