‘Mtatiro amefuata fursa kwa JPM’ - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

‘Mtatiro amefuata fursa kwa JPM’

KWENYE siasa hatufuati watu. Ukiwafuata watakuacha solemba. Fuata misingi. Anaandika Ansbart Ngurumo … (endelea). Msando na Mtatiro walikuwa wafuasi. Hawakuwa waanzilishi. Hata wangekuwa waanzilishi, tungewaacha waende zao kama tulivyowaacha akina Prince Bagenda na Chifu Abdallah Fundikira; au hata mgombea ubunge wa kwanza wa Chadema, Dk Amani Kabourou. Msando na Mtatiro hawafikii hata nusu ya Dk. ...


Source: MwanahalisiRead More