MTATIRO ATANGAZA KUBWAGA AONDOKA CUF KUJIUNGA NA CCM - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MTATIRO ATANGAZA KUBWAGA AONDOKA CUF KUJIUNGA NA CCM

Aliekuwa Mwenyeki wa kamati ya uongozi wa chama cha wananchi CUF,Julius Mtatiro chini ya Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar as Salaam kuhusu na tarajio lake la kujiunga na chana cha Mapinduzi (CCM).Waandishi wa habari wakimsikilza aliyekua Mwenyekiti wa kamati ya Uongozi wa chama cha wananchi CUF Julius Mtatiro (Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii).
JUHUDI za Rais Dk.John Magufuli za kuleta maendeleo zimesababisha Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro kuamua kubadili gia ardhini kwa kujivua uanachama wa chama hicho.
Na kwamba amesema kuanzia leo atajikita katika kushiriki katika kufanya siasa za maendeleo na hasa kuunga mkono jitihada za Rais. Wakati anatangaza uamuzi huo ametaja sababu tano zilizomsukuma kufanya uamuzi huo.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Mtatiro ametaja sababu hizo ambapo ya kwanza ni kutoridhishwa na hali ya ushiriki na mchango wake kwenye siasa za CUF.
Amesema sababu ya pili ni mgo... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More