MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI PANCHO LATINO KUZIKWA KWAO GAIRO MKOANI MOROGORO. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MTAYARISHAJI WA MUZIKI NCHINI PANCHO LATINO KUZIKWA KWAO GAIRO MKOANI MOROGORO.

Muandaaji wa Muziki nchini Tanzania, Producer Pancho Latino almaarufu Mafia ambae alifanya kazi kwenye studio mbalimbali  aliyefariki jana kwa  kuzama kwenye maji kwenye kisiwa cha Mbudya Dar es Salaam anatarajia kuzikwa Wilayani Gairo, Morogoro. 
 Kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa na Msanii Fid Q katika ukurasa wake wa Twitter imesema kuwa Marehemu  Pancho Latino itahitimishwa siku ya Jumamosi nyumbani kwao. Ibada itaanza saa 4 asubuhi, na baadae wataaga mwili wa marehemu na maziko yatafanyika saa nane mchana. Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya Lugalo kwa uchunguzi zaidi.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More