Mtazamo wa Edo Kumwembe kuhusu Ndondo Cup - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtazamo wa Edo Kumwembe kuhusu Ndondo Cup

Mchambuzi mzoefu wa michezo Edo Kumwembe tulikuwa nae kwenye uzinduzi wa msimu wa Ndondo Cup 2018 kwenye uwanja wa Kinesi na kushuhudia game kali ya ufunguzi kati ya Mabibo Market na Keko Furniture ambayo ilimalizika kwa Mabibo kushinda 3-0 dhidi ya Keko.


Dauda TV ilipiga story na Edo kupata maoni yake juu yabmashindano haya ambayo yanafanyika kwa msimu wa tano mfululizo.


Edo anaamini mashindano aina ya Ndondo Cup ni muhimu kwa wachezaji wa kiafrika na moja kati ya sababu alizotaja ni aina za viwanja vinavyotumika huwa vinasaidia kuongeza skills kwa wachezaji.


Kuangalia full Interview click play hapa chini kisha na wewe uniandikie comment yako kuhusu ulivyoipokea michuano ya NdondonCup.Source: Shaffih DaudaRead More