MTENDAJI MKUU AZAM AKUTANA NA DIKEMBE MUTOMBO MAREKANI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MTENDAJI MKUU AZAM AKUTANA NA DIKEMBE MUTOMBO MAREKANI

Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ (kulai) akiwa na gwiji wa mpira wa kikapu, Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques Wamutombo, maarufu tu kama Dikembe Mutombo baada ya kukutana jana mjini New York, Marekani.
Mutombo amecheza timu mbalimbali za NBA zikiwemo Denver Nuggets, Atlanta Hawks, Philadelphia 76ers, New Jersey Nets, New York Knicks na Houston Rockets. Popat amehamishiwa kwenye nafasi ya Utendaji Mkuu, kutoka Makamu Mwenyekiti katika mfumo mpya wa uendeshwaji wa klabu ambao unafuta cheo cha Makamu Mwenyekiti ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More