Mtibwa Sugar yaokoa kipaji cha Razak Daiva, chipukizi aliyesuswa Azam Fc - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtibwa Sugar yaokoa kipaji cha Razak Daiva, chipukizi aliyesuswa Azam Fc

Mtibwa Sugar ni moja ya klabu kongwe kabisa ndani ya ligi kuu Tanzania. Ni klabu ambayo sera yao ni kuinua viwango vya wachezaji wachanga kama akina Ramadhani Shiza Kichuya n.k


Klabu ya Mtibwa Sugar ya mkoani morogoro hivi majuzi iliandaa majaribio ya kupata vijana wenye uwezo ndani ya jiji la Dar ss Salaam. ilifanikiwa kuwanasa wachezaji watatu katika harakati ya kuimarisha kikosi chao.


Wachezaji hao ni nani na nani?


Golikipa Razak Daiva golikipa wa zamani wa Azam Fc ya vijana, Omary Ally Malungu a.k.a Van Magoli ambaye ametokea akademi ya Mabibo FF ya hapahapa Dar es Salaam.


Makala yetu leo tunaanza na Razak Daiva.


Daiva ni nani?


Ni mzaliwa wa Tanga. Soka lake alianzia Tanga. Alianzia kufanya mazoezi na klabu ya Mgambo Shouting ambayo ilikuwa inafanya mazoezi yake uwanja wa mizani karibu na nyumbani kwake uliopo maeneo ya Kange.Baada ya hapo akajiunga na akademi ya Veterani. Pia alishiriki michuano iliyoandaliwa na Azam akiwa anaitumikia klabu ya Makolola Star. Mchezo wa kwanza wal... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More