Mtibwa yachapwa, Katwira atoa neno - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mtibwa yachapwa, Katwira atoa neno

Kocha mkuu wa Mtibwa Sugar, Zubery Katwira ametoa mchongo kwa Mawenzi Market FC kutekeleza mambo ya msingi kama inataka kufanya vizuri katika ligi daraja la kwanza msimu huu ili kupata nafasi ya kutinga Ligi Kuu Tanzania bara msimu ujao.


Source: MwanaspotiRead More