Muda wowote Madrid kumtangaza Zidane kama kocha wao, tetesi za kurejea zaenea Hispania - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Muda wowote Madrid kumtangaza Zidane kama kocha wao, tetesi za kurejea zaenea Hispania

Klabu ya Real Madrid inampango wa kumrejesha aliyekuwa kocha wake, Zinedine Zidane hii ni kwa mujibu wa tetesi za vyombo mbalimbali vya habari nchini Hispania.

Zidane aliachana na klabu hiyo wakati wa majira ya joto baada ya kutokufurahishwa na mipango ya msimu huu.

Rais wa Real Madrid, Florentino Perez anatarajiwa kukutana na mkurugenzi mwenzake majira ya saa 11 alasiri kufanyamazungumzo ya kumpata kocha wa tatu ndani ya msimu huu.


🚨🚨🚨¡EXCLUSIVA #JUGONES! @jpedrerol: "El ENTRENADOR del REAL MADRID SERÁ ZIDANE". pic.twitter.com/3zElT5Dx0Y

— El Chiringuito TV (@elchiringuitotv) March 11, 2019

Kwa upande wake Mfaransa, Zidane huyo amenukuliwa akisema kuwa aliamua kuachana na timu hiyo ili kuifanya inaendelea kunyakuwa mataji.

Perez alipomuuliza kama anaweza kurejea Madrid mara baada ya timu hiyo kupoteza dhidi ya Ajax, imeonekana kama kitu kisichowezekana kwa Zidane kurejea.


🚨ADIÓS A SOLARI. #JUGONES CAPTA la ÚLTIMA IMAGEN del argentino al frente del ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More