Muhimbili Wahitimisha Huduma ya Matibabu Hospitali ya Rufaa Musoma - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Muhimbili Wahitimisha Huduma ya Matibabu Hospitali ya Rufaa Musoma

Wataalam wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) waliokuwa wakitoa huduma ya matibabu kwa njia ya mkoba kwa kushirikiana na watalaam wa Hospitali ya Rufaa ya Musoma mkoani Mara wameitimisha huduma hiyo leo Ijumaa baada ya kuwaona wagonjwa zaidi 1960 na kuwafanyia upasuaji zaidi wagonjwa 146.Awali wataalam wa Muhimbili walikuwa watoe huduma ya matibabu kwa wananchi wa Mkoa wa Mara pamoja na kuwajengea uwezo watalaam wa Hospitali ya Rufaa ya Musoma kwa muda wa wiki moja, lakini uongozi wa Muhimbili ulilazimika kuongeza siku saba kutokana na wingi wa wagonjwa walijitokeza kutoka Mkoa wa Simiyu, Mwanza na Shinyanga kwa ajili ya kupata huduma za kibingwa.Wakati akihitimisha huduma hiyo leo  Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dkt. Joachim Eyembe aliwashukuru wataalam wa Muhimbili kwa kutoa huduma za kibingwa kwa kushirikiana na wataalam wake.“Tunawapongeza sana kwa mara nyingine kwa ujio wenu, na tutawasiliana na uongozi wa Muhimbili ili tuwaombe mrudi tena Musoma kwa ajili ya kuwahudumia w... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More