Mungu Nisamehe Naenda Kuiba Mume wa Mtu :-Irene Uwoya - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mungu Nisamehe Naenda Kuiba Mume wa Mtu :-Irene Uwoya

Mwanadada Irene Uwoya ameacha guzo katka mitandao baada ya kuweka picha na caption inayoashiria kuwa kuna kitu anaenda kukifanya na anakijua anakifanya kwa makusudi ikiwa kama swala la kulipiza kisasi kwa kile alichowahi kufanyiwa yeye.


Irene anasema kuwa anajua kuwa anakwenda kuiba mume wa mtu lakini anaomba kusamehewa na Mungu kwa sababu hata yeye wakati wa kwake wanamuiba hakusema kitu alinyamaza kimya.Ikumbukwe kuwa Irene alikuwa mke halali wa Dogo Janja lakini walikuja kuachana baada ya skendo ya mume wake huyo kusemekana kuwa alitoka kimapenzi na wema sepetu.


The post Mungu Nisamehe Naenda Kuiba Mume wa Mtu :-Irene Uwoya appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More