Musiba, Lugola waingia vitani - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Musiba, Lugola waingia vitani

MUDA mchache baada ya Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kumtaka Cyprian Musiba, anayejitambulisha kuwa mwanaharakati na mtetezi wa Rais John Magufuli kuacha upotoshaji, naye amemjibu ‘siachi.’ Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Musiba kwenye andiko lake katika ukurasa wake wa twitter leo tarehe 13 Sepemba 2019 amesema, haogopi kukamatwa na kwamba ataendelea. ...


Source: MwanahalisiRead More