MUSIC VIDEO: Nay wa Mitego aachia ngoma mpya ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ awataja tena BASATA - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MUSIC VIDEO: Nay wa Mitego aachia ngoma mpya ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ awataja tena BASATA

Rapa Ney wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ ambapo kwenye mashairi ya wimbo huo kafunguka mambo kibao ikiwemo Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).Kwenye moja ya mashairi ya wimbo huo, Nay amesema “Huu ndio mwaka wenye utata unatoa ngoma ina-hit halafu inasifiwa na BASATA”.


Hii sio mara ya kwanza kwa Nay wa Mitego kuwataja BASATA kwenye nyimbo zake kwani alishawahi kulitaja baraza hilo kwenye nyimbo zake za nyuma.


The post MUSIC VIDEO: Nay wa Mitego aachia ngoma mpya ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ awataja tena BASATA appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More