MUSSA MATHIAS WA DAR ASIMULIA ALIVYOANZA KUCHEZA HADI KUWA MSHINDI WA DROO YA 34 YA SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MUSSA MATHIAS WA DAR ASIMULIA ALIVYOANZA KUCHEZA HADI KUWA MSHINDI WA DROO YA 34 YA SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA

UNAWEZA kusema watanzania wameamua na kila mtu anapambana kwa nafasi yake kuhakikisha anashinda na timu ya ushindi SportPesa Hii ni kutokana na ubashiri na haya yote ni kujitahidi kushinda bajaj na kufungua ukurasa mpya.
Kwanini watanzania wameamua kuipa jina la timu ya ushindi SportPesa kikubwa ni namna ambavyo timu hii imeonyesha kuwajali maana kwenye promosheni ya Shinda zaidi Na SportPesa wanatoa bajaj mia na Mtanzania mmoja anaondoka na bajaj yake kila siku hii ndio maana halisi ya timu ya ushindi yani hawakubali ubashiri wako ukuache hivi hivi.
Na kama kawaida SportPesa imeendelea kutoa bajaj kwa washindi wa promosheni ya shinda zaidi huku kwa wakati huu Mussa Mathias Kutoka Hapa Jijini Dar es salaam ndiye anayekabidhiwa bajaj baada ya kushinda.
Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbas(kushoto) akimkabidhi funguo za bajaji Mussa Mathias mjini Dar es Salaam 
Huyu ni mshindi wa droo ya 34 ambaye alitusimulia ni kwa vipi alianza kucheza na timu ya ushindi mpaka kuf... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More