Mustafi ashangalia ushindi wa Arsenal mtupu! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mustafi ashangalia ushindi wa Arsenal mtupu!

Nyota wa Arsenal, Shkodaran Mustafi amejikuta akishindwa kujizuia furaha yake baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa jana Jumatatu usiku.


Source: MwanaspotiRead More