Mutamba, Ovella kuongoza mashambulizi Kenya U23 v Mauritius, Moi Kasaran - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mutamba, Ovella kuongoza mashambulizi Kenya U23 v Mauritius, Moi Kasaran

Kwa mujibu wa kikosi cha Kenya U23, kilichowekwa hadharani muda mfupi na kocha mkuu wa timu hiyo, Francis Kimanzi, langoni atasimama Kipa wa Kariobangi Sharks, Brian Bwire, ambaye atawategemea mabeki Yusuf Mainge, Johnstone Omurwa, Nahodha Joseph Okumu na  David Owino.


Source: MwanaspotiRead More