‘Muuaji msikitini New Zealand alijaza silaha kwenye gari lake’ - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

‘Muuaji msikitini New Zealand alijaza silaha kwenye gari lake’

BRENTON Tarrant (28) aliyeshiriki kufanya mauaji msikitini nchini New Zealand jana tarehe 15 Machi 2019 na kusababisha vifo vya waumini wa dini ya kiislam 49, amekutwa na silaha nyingi kwenye gari alilotumia. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Uchunguzi wa awali uliofanywa na Jeshi la Polisi nchini humo umeeleza kuwa, Tarrant ambaye ni raia wa Australia ...


Source: MwanahalisiRead More