Muuaji wa Brazil atua Friends Rangers - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Muuaji wa Brazil atua Friends Rangers

Mtanzania pekee aliyeifunga timu ya taifa ya Brazil, Jabir Aziz 'Stima' amesema kwa sasa atapumzika kucheza Ligi Kuu Bara msimu huu, badala yake anageukia Ligi Daraja la Kwanza kuisaidia Friends Rangers.


Source: MwanaspotiRead More