MV Nyerere: Kenyatta atoa Sh125m kwa Watanzania kama rambirambi mkasa wa kivuko, mhandisi amkosoa Magufuli - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MV Nyerere: Kenyatta atoa Sh125m kwa Watanzania kama rambirambi mkasa wa kivuko, mhandisi amkosoa Magufuli

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa Sh125 milioni kwa mwenzake wa Tanzania Dkt John Magufuli kama rambirambi kufuatia mkasa wa kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere mwezi jana.


Source: BBC SwahiliRead More