MV Nyerere: Waliofiwa watakaswa kupitia tendo la ndoa katika jamii ya Wakara - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MV Nyerere: Waliofiwa watakaswa kupitia tendo la ndoa katika jamii ya Wakara

Utakaso, ni utamaduni wa kabila la Wakara kaskazini magharibi mwa Tanzania, ambapo mwanaume au mwanamke anapofiwa na mwenzake analazimika kutafuta mtu wa kushiriki naye tendo la ndoai ili kuondokana na mikosi


Source: BBC SwahiliRead More