MV Nyerere yamng’oa Mbunge wa Chadema Ukerewe - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MV Nyerere yamng’oa Mbunge wa Chadema Ukerewe

MBUNGE wa Ukerewe mkoani Mwanza, Joseph Mkundi  amejiuzulu wadhifa huo pamoja na uanachama wa chama cha Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mkundi amejiuzulu wadhifa huo kupitia barua yake aliyoiwasilisha jana tarehe 10 Oktoba 2018 katika Ofisi ya Spika wa Bunge, akidai kuwa, kutelekezwa na ndugu zake kisiasa ambao hakuwataja jina, katika janga la ajali ...


Source: MwanahalisiRead More