MV Nyerere yazidi kuondoka na Vigogo, JPM atumbua wengine - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MV Nyerere yazidi kuondoka na Vigogo, JPM atumbua wengine

RAIS John Magufuli ameivunja Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (SUMATRA) ikiwa ni muendelezo wa hatua anazochukua kufuatia ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, iliyopoteza mamia ya Watanzania. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa ya kuvunjwa kwa bodi ya wakurugenzi wa SUMATRA imetolewa leo tarehe 24 ...


Source: MwanahalisiRead More