Mvua ya mabao yaanza Kanda ya Ziwa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mvua ya mabao yaanza Kanda ya Ziwa

JUZI kikosi cha Stand United kilijitupa uwanjani kwa mara ya kwanza kujipima nguvu dhidi ya Wapinzani wao wa Jadi Mwadui FC na kujikuta ikiambulia kipigo cha mabao 2-0,lakini Kocha wake Amars Niyongabo amesema kuwa hiyo haimuumizi kichwa.


Source: MwanaspotiRead More