Mvua yaleta majanga Dar - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mvua yaleta majanga Dar

MVUA inayoendelea kunyesha mfululizo jijini Dar es Salaam, imesababisha mawasiliano ya barabara kukatika kwenye baadhi ya maeneo ya jiji hilo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Alfajiri ya leo tarehe 13 Mei 2019, Barabara ya Kawawa ilifungwa kutokana na Bonde la Mkwajuni kujaa maji. Barabara nyingine iliyofungwa kwa sababu hiyo ni ile ya Morogoro katika eneo ...


Source: MwanahalisiRead More