Mvutano wa kibiashara China na Marekani zatoa kauli zinazotofautiana, baada ya Trump kuongeza ushuru kwa bidhaa za China - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mvutano wa kibiashara China na Marekani zatoa kauli zinazotofautiana, baada ya Trump kuongeza ushuru kwa bidhaa za China

Mvutano wa kibiashara waendelea kati ya Marekani na China huku nchi hizo zikitoa kauli zinazokinzana wakati ambapo Rais Trump ameamua kuongeza ushuru maradufu kwa bishaa za China.China Schanghai Fahnen USA und China (Getty Images/AFP/J. Eisele)


Kwa mujibu wa DW. China na Marekani zinatoa taarifa zinazotofautiana juu ya mazungumzo ya biashara. China imesema bado ina matumaini kuhusu kuutatua mvutano wa kibiashara, wakati Marekani imesema imeongeza ushuru mara mbili kwa bidhaa kutoka China. Hata hivyo mjumbe wa China katika mazungumzo na Marekani Liu He ameonya kwamba kuna viwango ambavyo nchi yake haitakuwa tayari kuvivuka.


Makamu wa waziri mkuu wa China Liu He amesema mazungumzo kati ya nchi yake na Marekani hayajavunjika licha ya kuwepo vikwazo vidogo ambavyo ni vya kawaida na kwamba China itaendela kuwa na mtazamo chanya juu ya mazungumzo ya biashara na Marekani, licha ya Rais Trump kuamua kuziongezea ushuru bidhaa za China.Rais wa Marekani Donald Trump (Reuters/K. Lamarque)Rais wa Marekani Donald TrumpMaoni ya Liu yanakinzana na ya waziri wa fedha wa Marekani Steve Mnuchin, ambaye aliwaa... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More