MWADUI FC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA MWADUI COMPLEX - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWADUI FC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA MWADUI COMPLEX

Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kulia) akipambana na mchezaji wa Mwadui FC jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Mwadui Complex mjini Shinyanga. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
Beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa (kulia) akitia krosi mbele ya beki wa Mwadui FC 
Kiungo wa Azam FC, Joseph Mahundi (kushoto) akiuwahi mpira dhidi ya mchezaji wa Ndanda FC 
Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akiwatoka wachezaji wa Mwadui FC
Kikosi cha Azam FC kilichoanza katika mechi ya jana... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More