MWAKA 2003 ULIVYOMUIBUA MCHEZAJI ATHUMANI IDD 'CHUJI' - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWAKA 2003 ULIVYOMUIBUA MCHEZAJI ATHUMANI IDD 'CHUJI'


Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM
WANASEMA ya kale dhahabu ni msemo wenye maana sana japo wengi tunashindwa kuuelewa lakini pia huwezi kufanikiwa zaidi bila kuangalia walio kutangulia. Katika soka letu leo nimeamua kumzungumzia mmoja kati ya viungo bora kabisa ambao niliwahi kuwashuhudia naweza kusema ni vipaji adimu sana bila kujali kama alifanikiwa kwa upande mwingine wa maisha ya kawaida au laah mimi nimetamani kuuzungumzia ujuzi wake uwanjani na akili kubwa ambayo Mungu alimjalia akiwa katika dimba la chini kiungo mkabaji,mwenye umiliki maridadi wa mpira huku akipiga pasi hapa nilipo na Kariakoo na ikafika kwa mlengwa kuna wakati unaweza tamani hata kurudisha zama ili vijana wa leo waone ila wanasemaga wakati ukuta. Ni Athumani Idd wengi hupenda kumuita Chuji.
Kiungo huyu aliyeanza soka lake kunako klabu ya Polisi Dodoma,Chuji alitokea kuwa mlinzi bora wa kati Tanzania,alikuwa akipata nafasi ya kucheza timu ya Taifa ya vijana "Serengeti Boys" ,Mwaka 2005 akitokea timu za nje ya Dar- e... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More