Mwakagenda aitibulia TBC1 bungeni - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mwakagenda aitibulia TBC1 bungeni

SHIRIKA la Utangazaji nchini (TBC1), limelalamikiwa kutoa matangazo yake kwa upendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Sofia Mwakagenda, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) leo tarehe 15 Mei 2019 mbele ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson wakati wa maswali bungeni, amehoji sababu za chombo hicho cha umma, kutoa habari zake kwa kubagua wapinzani. Mbunge huyo akiomba ...


Source: MwanahalisiRead More