MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kushoto) akizungunza na  Balozi wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek Solczynski( wa pili kutoka kushoto) na  Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashamu Paul Ruzoka(katikati) wakati kiongozi huyo wa kiroho alipomtembelea Ofisi kwake jana. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (mwene koti la bluu) akiwa katika picha ya pamoja na  Balozi wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek Solczynski( pembeni yake kutoka kulia) na  ,Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashamu Paul Ruzoka(wa pili kutoka kulia) na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wakati kiongozi huyo wa kiroho alipomtembelea Ofisi kwake jana.
 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashamu Paul Ruzoka(  )  akizungunza na  viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora mara baada ya Balozi wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek Solczynski( pembeni ya Mkuu wa Mkoa) alipomtembelea Ofisi y... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More